PASTOR Bundle Offer
⭐ Wajasiriamali 1,241+ wananufaika na Mfumo wa PASTOR kuongeza mauzo na uaminifu kwa wateja katika biashara⭐
⏰ Muda wa Offer ya leo uliobaki
00
Masaa
00
Dakika
00
Sekunde
Ultra-PASTOR Bundle Offer • Copywriting • WhatsApp • Facebook • Instagram

Miliki Mfumo Rahisi wa Kupata Wateja na Kuongeza Mauzo Kila Siku Kupitia WhatsApp, Facebook & Instagram Hata Kama Hujawahi Kuuza Kitu Chochote Mtandaoni!

Acha Kutafuta Wateja Kizamani na Uanze Kuwavuta Wateja Kama Sumaku Kwa Kutumia Mfumo Wa PASTOR Unaogeuza Maneno Yako Kuwa Sumaku ya Kuvuta Wateja, Hata Kama Hujawahi Kuuza Kitu Chochote Mtandaoni!

✓ Mfumo unatumika vizuri kwenye vifaa vyote vya mawasiliano
✓ Lugha ya mauzo inayonasa wateja kama sumaku
✓ Dhamana ya siku 7 iwapo hautapata matokeo halisi utarejeshewa pesa zako
Mfumo wa PASTOR Dashboard
0
Wajasiriamali Wanaonufaika Na Mfumo Wa PASTOR
0
Bonuses Ndani ya Bundle
0
Siku za Dhamana ya Kurejeshewa Pesa Zako
Faida wanayopata watumiaji wa Mfumo wa PASTOR

Wajasiriamali Wanasema Nini Kuhusu Mfumo Wa PASTOR?

★★★★★

Huu Mfumo Wa PASTOR kwa kweli ni rahisi kuuelewa na kuutumia, Mfumo umeniokoa maana nilikuwa nimefikia hatua ya kuchukua maamuzi ya kufunga biashara lakini nilipoupata Mfumo huu na kuanza kuutumia wateja wamekuwa wengi na mauzo ya biashara yangu yamepanda tofauti na ilivyokuwa mwanzo.

Aneth Jackson
Aneth JacksonMuuza vipodozi, Arusha
★★★★★

Tangu nianze kufanya biashara nimetumia mifumo mingi tofauti tofauti, lakini hakuna Mfumo hata mmoja unaoweza kuufikia Mfumo Wa PASTOR kwa ubora na kwa namna ya kipekee unavyofanya kazi kwa ufanisi. Sasa hivi order ninazopata mpaka nimeamua kuanzisha matawi mengine ili nifikie lengo langu la kuuza bidhaa zangu katika masoko ya kimataifa.

Salim Mussa
Salim MussaMfanya biashara, Dar es Salaam
★★★★★

Ujuzi nilioupata kutoka kwenye Whatsapp Sales King e-Book niliyoipata kama bonus kutoka kwenye Mfumo Wa PASTOR imenisaidia sana kuweza kuuza bidhaa zangu ninazo-post kupitia Whatsapp status yangu kwa kutumia mbinu na siri nilizozipata kutoka kwenye huu mfumo wa PASTOR. Ule msongo wa mawazo wa kukosa wateja kwa sasa hivi haupo tena.

Catherine Zuberi
Catherine ZuberiMjasiriamali, Mwanza
Shija Edward - Copywriting Expert
Copywriting Expert

Mfumo Wenye Kila Kitu Unachohitaji Katika Biashara Yako.

Habari Mjasiriamali! Naitwa Shija Edward. ni mtaalamu wa uandishi wa mauzo (Copywriting Expert) niliyebobea katika saikolojia ya wateja kwa zaidi ya miaka 7...

Nimewasaidia wajasiriamali 1,241+ kuwajengea uwezo wa kuongeza mauzo na kukuza mitaji katika biashara...

Zaidi ya wajasiriamali 1,241+ wamekuwa wanufaika wa Mfumo Wa PASTOR. Na wewe ni miongoni wa wanufaika punde tu utakapoanza kutumia Mfumo Wa PASTOR...

Ndani Ya Mfumo Huu Wa PASTOR Utaweza Kutumia Mbinu, Siri na Nguvu Ya Hizi Herufi 6 ambazo Wafanya Biashara Waliofanikiwa Wamezificha na Hawataki Uzijue...

Badala ya lugha ndefu isiyo na mwelekeo, unapata framework inayoweza kutumika moja kwa moja kwenye biashara yako kila siku kupitia WhatsApp, Facebook, na Instagram...

Muundo wa Mfumo wa PASTOR

Muundo wa Mfumo wa PASTOR Unaofanya Mauzo yawe Rahisi Kuongezeka

Kila sehemu imewekwa kumwongoza mteja kutoka kwenye kuangalia bidhaa au huduma hadi kuchukua hatua ya kufanya malipo.

P — Problem

Utaelewa jinsi ya kugusa tatizo au changamoto ya mteja kwa usahihi mpaka aone huduma au bidhaa yako ndio suluhisho la changamoto au tatizo lake.

A — Amplify

Utaelewa jinsi ya kumuonyesha mteja kuwa huduma au bidhaa yako ndio njia pekee ya kumaliza changamoto au tatizo lake pia gharama atakayopata asipotumia huduma au bidhaa yako.

S — Story & Solution

Utajua Jinsi ya kumpa suluhisho Mteja kupitia Story mpaka ahisi wewe ndio unaweza kumaliza changamoto/tatizo lake.

T — Testimonials

Utaelewa Jinsi ya kutumia ushuhuda wa Wateja wako wengine kama uthibitisho kwa Wateja wapya ili waweze kulipia huduma au bidhaa yako.

O — Offer

Utajua Jinsi ya kutengeneza Offer isiyokataliwa kirahisi inayomfanya mteja ahisi ni mjinga asipotumia bidhaa au huduma yako.

R — Response

Utaelewa Jinsi ya kumfanya mteja achukue hatua hapo hapo kulipia huduma au bidhaa yako.

PASTOR Bundle Bonuses

Unapata Nini Ndani Ya Mfumo Wa PASTOR?

Mfumo wa PASTOR eBook

Mfumo wa PASTOR

Mfumo Wa PASTOR wenye Mbinu, Siri na Nguvu Ya kuongeza mauzo katika biashara yako.

WhatsApp Sales King Guide

WhatsApp Sales King

Geuza Whatsapp Status yako kuwa channel ya kuongeza mauzo katika Biashara Yako.

Facebook Ads Kiswahili

Facebook Ads kwa Kiswahili

Facebook Ads kwa Kiswahili: Pata wateja wenye uwezo wa kulipia huduma au bidhaa yako.

Sales Scripts Collection

Sales Scripts 250+

Maneno muhimu (una Copy & Paste tu) ya kujibia wateja wagumu.

🎁 VIP WhatsApp Group

Utapewa Access Ya Kupata Ushauri Wa kukuza mtaji na kuongeza mauzo katika Biashara Yako Kwa Miezi 3 BURE! , pamoja na maelekezo ya kuboresha biashara yako.

Upo tayari kupata Mfumo wa mauzo wa biashara yako?

Pata PASTOR Bundle Offer Leo!

Mfumo Wenye Kila Kitu Unachohitaji Ili Kuongeza Mauzo Katika Biashara Yako.

🔥 Offer ya Leo Tu!
34,000/Tsh
140,000/Tsh

Jina: Shija Edward

Lipa Namba: 43 709 329

Mtandao: Mixx by Yas

Kiasi: 34,000/Tsh

Baada ya kulipia, tuma screenshot ya muamala WhatsApp +255 784 043 028 ili upokee mfumo wako haraka.

⚠️ P.S. kumbuka! 34,000/Tsh Ni Bei Ya Leo Tu! Muda Uliobakia Ukiisha Bei Inarudi Kama Ilivyokuwa Awali 140, 000/Tsh. Lipia Sasa Hivi Upate Offer Yako Kabla Ya Muda Uliobaki haujaisha.

  • Mfumo Wa PASTOR: Mfumo Wa Kunasa Wateja
  • WhatsApp Sales King: Kugeuza Status yako kuwa channel TV ya mauzo
  • Facebook Ads kwa Kiswahili: Kupata wateja wenye pesa, siyo wasumbufu
  • Sales Scripts 250+: Maneno muhimu (una Copy & Paste tu) ya kujibia wateja wagumu
  • VIP Whatsapp Group: Utapewa Access Ya Kupata Ushauri Wa Biashara Yako Kwa Miezi 3 BURE!
Unahitaji Kujua Zaidi Kuhusu Mfumo Wa PASTOR?

Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara.

Je, njia gani za malipo zinakubaliwa?

Unaweza kulipia kwa urahisi kupitia: M-Pesa • Mixx by Yas • Airtel Money • HaloPesa • Bank. Lipa Namba: 43 709 329 Mixx by Yas. Jina: Shija Edward. Ukishalipia tuma screenshot ya muamala Whatsapp +255 784 043 028 ili kupata Mfumo Wa PASTOR.

Offer hii ina ukomo wa muda gani?

Offer hii inapatikana kwa muda maalum, hivyo ni bora kuchukua hatua mapema kabla Muda wa Offer Haujaisha.

Nitapokea mfumo baada ya kulipa lini?

Baada ya malipo kuthibitishwa, mfumo wa PASTOR hutumwa kupitia WhatsApp kwa haraka na kwa urahisi.

Mfumo umetengenezwa kwa muundo gani?

Umeandaliwa kama eBook inayoonekana na kutumika vizuri kwenye simu, tablet, na kompyuta.

Je, kuna dhamana?

Ndio. Kuna dhamana ya siku 7 kulingana na masharti ya huduma yaliyowekwa.

Money-back Guarantee Badge
Dhamana

Dhamana ya Kurejesha Pesa Yako

Mfumo huu umebadilisha maisha yangu na ya wateja wangu na kila mtu ambaye ameutumia, na nina uhakika unaweza kubadilisha yako pia. Ikiwa hautaona matokeo yoyote ndani ya siku 7 tutakurudishia pesa yako yote 100% bila usumbufu wowote.

Ongeza Mauzo Katika Biashara Yako Kwa Kutumia Mfumo wa PASTOR...

Chukua Offer Yako Hii Kabla Haujaisha Muda Uliobakia

Mfumo huu wa PASTOR umeandaliwa kwa umakini mkubwa ili upate thamani halisi na matokeo ya mauzo yanayoonekana katika biashara yako mtandaoni mahali popote.

Angalia Offer Pata Offer